Rigathi Gachagua huwa akihitubia anachekesha sana

Ila Ruto atatawala kwa shida sana na Kenya itayumba sana kiuchumi
 
Ilitabiri au ilitoa mwelekeo wa utawala na awamu ,baada ya kikao wakapiga picha kama ushahidi
 
huyo ni mwehu
 

Makamu wa Rais awatetea wanawake anasema wanawake wa kenya wanalia na kulalamika wanaume wa kenya hawana nguvu za kiume wanalala tu bila kuwafanya
 
Afundishwe protocal za kirais. Hata hapa kwetu kuna tatizo hili. Anapokuwepo RAIS shughuli yote inakuwa ya Rais. Wengine hata makamu wa Rais hawatakiwi kutoa policy statement yoyote zaidi ya kusalimia.
Sasa siku ile alipomsema Uhuru, Ruto angesema kuwa atashirikiana nae inagekuwaje. Ingeonekana hawakujipanga.

Enzi za Kenya na Moi. Moi alipoombwa kusalimia. Alisema tu. Mzee mkutano huu ni wa kwako. Asante kwa kuniruhusu kusalimia.
 
12 April 2023
Nairobi, Kenya

Rais William Ruto alijumuika na waislamu kwenye hafla ya iftar iliyoandaliwa na wafanyibiashara kutoka mtaa wa Eastleigh jana jioni katika jumba la mikutano la KICC hapa jijini Nairobi.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…