Picha na video zinazosambaa mitandaoni zimezua gumzo baada ya mwanaume anayefanana sana na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kuonekana katika hafla moja huko Seattle, Marekani.
Mwanaume huyo alionekana akiwa amevalia kofia ya cowboy na shati la checkered, huku watu waliokuwa kwenye hafla hiyo wakishangazwa na jinsi anavyofanana na Gachagua. Mmoja wa waliokuwepo hata alimtaka aseme kauli ya kisiasa “Wantam”, jambo lililozua furaha na mshangao zaidi.
Kwa sasa, hakuna taarifa kwamba mtu huyo ni Gachagua mwenyewe. Ni look-alike wake tu ambaye amekuwa gumzo miongoni mwa Wakenya kwenye mitandao.
Hii si mara ya kwanza kwa mtu anayefanana na Gachagua kuvutia attention. Mfanano huo umekuwa ukifanya baadhi ya Wakenya kumuita “Gachagua wa Seattle” huku wengine wakitania kuhusu Riggyverse.