Hio system ya PM Mods wamepewa privilege ya kuaccess PM yoyote yaan hata km mtu kaingia PM kwako akaanza kukushushia matusi ukiita Mods PM Jamaa anashighulikiwa HUMO HUMOMimi nina maswali kuhusu Jamii forum nataka kufahamu mawasiliano yetu in essence of PM je huwa ni End to end encrypted? Sababu kunawadau washalalamika kuhusu kujikuta watu watatu PM [emoji1787]
Hio system ya PM Mods wamepewa privilege ya kuaccess PM yoyote yaan hata km mtu kaingia PM kwako akaanza kukushushia matusi ukiita Mods PM Jamaa anashighulikiwa HUMO HUMO