Right to Privacy

Right to Privacy

Don 2009

Senior Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
102
Reaction score
230
Mimi nina maswali kuhusu Jamii forum nataka kufahamu mawasiliano yetu in essence of PM je huwa ni End to end encrypted? Sababu kunawadau washalalamika kuhusu kujikuta watu watatu PM [emoji1787]
 
Hio system ya PM Mods wamepewa privilege ya kuaccess PM yoyote yaan hata km mtu kaingia PM kwako akaanza kukushushia matusi ukiita Mods PM Jamaa anashighulikiwa HUMO HUMO
 
3 online. Mods wanapita kuchukua ubuyu
 
Sasa hii si sawa hata kama mtu anakutukana isiwe sababu ya mawasiliano kuingiliwa once it's a conversation between me and you lazima tuwe me & u sasa kuingilia ni kinyume na sheria coz hata WhatsApp wenyewe hawana hizi mambo

Back
Top Bottom