Inasemekana mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) hawana chujio la maji hivyo maji yanatoka yakiwa na hali hii. Wizara ya Maji tafadhali tusaidieni chujio haraka sisi pia ni Watanzania wenye thamani sawa na wakazi wa miji mingine. Wakazi wa Mtwara poleni sana...