kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
View attachment 1197028![]()
Mtwara: Haya ni maji yanayosambazwa na idara ya maji Mtwara - JamiiForums
Inasemekana mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) hawana chujio la maji hivyo maji yanatoka yakiwa na hali hii. Wizara ya Maji tafadhali tusaidieni chujio haraka sisi pia ni Watanzania wenye thamani sawa na wakazi wa miji mingine. Wakazi wa Mtwara poleni sana...www.jamiiforums.com
Maziwa na asali.. 😂 😂 😂