Official nyox
Senior Member
- Jan 29, 2024
- 132
- 278
Kabisa mkuu, na wengi huwa wanajutia ni vile tu wanakosa ujasiri wa kuswma mbele za watu kama Rihanna alivyofanyaUshauri mzuri sana ila wanawake wengi hawashauriki mpaka muda ufike na kuwaonesha uhalisia na mbaya zaidi inakuwa ni too late.
Mfano ni rihanna.
Na majuto yapo piaDunia ndivyo ilivyo, vizazi na vizazi. Hakuna kipya chini ya jua.
Kabisa mkuuKabisa mkuu, na wengi huwa wanajutia ni vile tu wanakosa ujasiri wa kuswma mbele za watu kama Rihanna alivyofanya
Ume elewa hilo andiko ?! Au unasema tuu SAWA?sawa