Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

Gold digger kazini. Huyu mwarabu amuulize kinachoendelea mwenzie aliyemuoa Janet Jackson, hawa watu hata wakiwa na mijimilioni yao bado hawana mapenzi ya kweli, wameweka maslahi mbele tu.
Duuu sasa huo u gold digger unakuja vipi? Unataka kuniambia Rihanna hana nusu ya utajiri wa huyo Mwarabu...
Au basi tuseme walau Dola 400M?
 
Aliyenacho ataongezewa.
Ila ndogo nayo itachakaa mno. Mwenzie Janeth Jackson alikimbia huko.
 
Aliyenacho ataongezewa.
Ila ndogo nayo itachakaa mno. Mwenzie Janeth Jackson alikimbia huko.
Janeth alikimbizwa na nini,maana walizaa wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…