Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harafu ndugu zao wanauana syria
Hizi ni rumours ambazo wala hazijathibitishwa... sawa na rumours za Janet kubadili dini!! Na utakavyojua ni rumours, kuna media zinasema angelipwa $100 M endapo ndoa ingevunjika after 5 years bila mtoto na addition $100M endapo ndoa ingekuwa na mtoto!Mwarabu alipewa penzi kwa mkataba wakimwagana alipe Dollars milioni 500, sasa kama sio kupungwa ni nini? Hawa watoto wa matajiri ni mambwiga tu.
ungekubali kunipa namba yako ya sim siku ile na we Leo ungekua unaitwa gold digger kama rihana[emoji23] [emoji23] [emoji23]hizi bahati huwa znapita njia ipi mbona sijawai kukutana nazo?
Nimekuelewa vizuri sana mkuu, tusake [emoji385] [emoji385] [emoji385] [emoji385]Huwaga najiuliza...diamond angekua fukara zari angemuona?? Wema angemuona??
Wakuu tutafute pesa!!
mkuu kwani bado hauihitaji🙂🙂ungekubali kunipa namba yako ya sim siku ile na we Leo ungekua unaitwa gold digger kama rihana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
wanaruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja yupo kwenye rehearsal
ila wanafanya atiRehearsal hairuhusiwi