Mwarabu alipewa penzi kwa mkataba wakimwagana alipe Dollars milioni 500, sasa kama sio kupungwa ni nini? Hawa watoto wa matajiri ni mambwiga tu.
Hizi ni rumours ambazo wala hazijathibitishwa... sawa na rumours za Janet kubadili dini!! Na utakavyojua ni rumours, kuna media zinasema angelipwa $100 M endapo ndoa ingevunjika after 5 years bila mtoto na addition $100M endapo ndoa ingekuwa na mtoto!
Media zingine zinasema $500M.
Lakini pamoja na yote hayo, kati ya media 50, labda ni moja tu ndio inaweza kusema ndoa yao ilifungwa lini hasa manake hakuna aliyefahamu hadi wenyewe walivyojitokeza mwaka 2013 na kusema walifunga ndoa mwaka jana (2012) bila kutaja mwezi gani... which means, hakuna aliye na uhakika kama ndoa ilishatimiza miaka 5 inayosemwa kabla hawajatengena!!!
But all in all, hata kama kutakuwa na malipo basi ni malipo sawa na mengine yoyote ambayo ni kawaida kwa hawa wenzetu manake ndoa zao mara kwa mara zinakuwa na prenup za miaka 5, 10 na kuendelea! Hata huyo Jannet alishawahi kumlipa mume wake ama wa pili au wa kwanza (sikumbuki vizuri).
Nasema itakuwa ni malipo sawa na mengine kwa sababu si kweli kwamba ndoa yao ilikuwa for money... it's real! Tena nakumbuka hata Gil Duldulao, best wa Janet ambae pia anasimamia tours za Jannet kuna siku alimwaga povu vibaya sana huko insta kuhusu hizo tuhuma za Janet na $500M.