Rihanna is single & ready to mingle, would she ever consider going to 'her first love'?

Rihanna is single & ready to mingle, would she ever consider going to 'her first love'?

Teh teh ...uko vice versa hakuna mwanaume Rihana anampenda duniani kama Cris...

Na Drake anampenda sana Riri, ila ndo moyo wake upo kwa Cris[emoji86] [emoji86]

Kwa muda huu wanatuzuga sana tu lakini watakuwa wote very soon..
yawezekana, ila unaweza nipa source yoyote inayoonyesha kwamba Rihanna anampango wa kurudiana x-lover wake yeyote!?, zaid kuona Chris anataka kumrudia Rihanna. badgirl ile kichwa mbovu labda ampate mtu +35 years huko hawa 30, 28 hamna kitu hapo
 
Back
Top Bottom