Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Rihanna ameamua kuvalia nguo ambayo ni ya aibu inayoonyesha kweupe sehemu zake za ndani. Nguo hii iliyotengenezwa na aina ya neti inaonyesha kila kitu cha ndani ikiwemo matiti.
Cheki picha zenyewe hapo chini...
Cheki picha zenyewe hapo chini...
Wasanii kadhaa washawahi kuvalia nguo aina hii ikiwemo Wema Sepetu wa bongo movies akionyesha maajabu na pia nduguye Kim Kardashian, Kendall Jenner ambapo ilimfanya kupata ajira baada ya kuvaa nguo aina hii.
Chanzo: Rihanna Katika Nguo Ya Kiajabu -bkuHABARI
Chanzo: Rihanna Katika Nguo Ya Kiajabu -bkuHABARI