Rihanna Katika Nguo Inayomuonyesha Chuchu Zake Kweupe

Rihanna Katika Nguo Inayomuonyesha Chuchu Zake Kweupe

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Rihanna ameamua kuvalia nguo ambayo ni ya aibu inayoonyesha kweupe sehemu zake za ndani. Nguo hii iliyotengenezwa na aina ya neti inaonyesha kila kitu cha ndani ikiwemo matiti.

Cheki picha zenyewe hapo chini...

b1f93-rihanna-balmain.jpg

aab8f-rihannabreastsparis.jpg

20f1f-rihanna-boob-top.jpg

Wasanii kadhaa washawahi kuvalia nguo aina hii ikiwemo Wema Sepetu wa bongo movies akionyesha maajabu na pia nduguye Kim Kardashian, Kendall Jenner ambapo ilimfanya kupata ajira baada ya kuvaa nguo aina hii.

Chanzo: Rihanna Katika Nguo Ya Kiajabu -bkuHABARI
 
Hajaonesha kitu bado.

Aende Mbabane Swaziland hapo kwenye ngoma ya Mswati akaone wanaojua kuonesha mambo bila hizo nyavu utasema mvuvi wa changu.

naam ana bipu tu huyu aende kwa muswati aone watoto wanavyojiachia
 
Atuonyeshe na tigo yake ipo salamaa?!!!
 
Rihanna ameamua kuvalia nguo ambayo ni ya aibu inayoonyesha kweupe sehemu zake za ndani. Nguo hii iliyotengenezwa na aina ya neti inaonyesha kila kitu cha ndani ikiwemo matiti.

Cheki picha zenyewe hapo chini...

aab8f-rihannabreastsparis.jpg

huyu wa nyuma kidoogo kataka kufanana na ali kiba
 
wema sepetu sasaiv nae atainunua nguo ya ivo
 
ni wakati wake sasa kuzaa na kunyonyesha!

ipo siku tutayakuta mbali zaidi ya hapo!
 
Me nilidhani ni saa sita kumbe kumbe mda umeenda.
 
Back
Top Bottom