Rihanna na BF wake mpya usipime

Rihanna na BF wake mpya usipime

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
643
Rihanna and her new boyfriend.

Rihanna and Matt Kemp: Rockin' the Boat
















 

Attachments

  • article-0-07C7A77D000005DC-862_468x263.jpg
    article-0-07C7A77D000005DC-862_468x263.jpg
    15.8 KB · Views: 1,218
  • article-0-07C7A791000005DC-660_468x466.jpg
    article-0-07C7A791000005DC-660_468x466.jpg
    26.7 KB · Views: 1,288
  • article-0-07C7A799000005DC-141_468x325.jpg
    article-0-07C7A799000005DC-141_468x325.jpg
    19.4 KB · Views: 1,197
  • article-1241262-07C7A9FD000005DC-217_468x342.jpg
    article-1241262-07C7A9FD000005DC-217_468x342.jpg
    22.2 KB · Views: 1,172
  • article-0-07C825EC000005DC-699_468x514.jpg
    article-0-07C825EC000005DC-699_468x514.jpg
    34 KB · Views: 1,161
  • article-0-07C75BB0000005DC-595_468x575.jpg
    article-0-07C75BB0000005DC-595_468x575.jpg
    47.6 KB · Views: 1,170
Kimya chote ndio umeibuka na Rihanna

si hivyo mzee! nataka na wewe upige picha zako kwenye pozi kama hii nizione
icon10.gif
icon10.gif
sina lengo la utani na kitambi.

By the way nipe mistari mwana nimemis kinoma
 
.........Hapa Rihanna kapata mwanaume , kifua chake tu ni cha mwanaume haswa!!
 
.........Hapa Rihanna kapata mwanaume , kifua chake tu ni cha mwanaume haswa!!

Mshauri na shemeji apige tizi. Ila Rihanna sio makli ki viiiile akija uswahilini kwetu watoto wanamwacha mbaali na komwa lake. Nothing personal ni wazo langu tu. Namkubali Beyonce zaidi.
 
jamaa akishatumika atapigwa chini
 
Atakuwa ameshabebeka/air time za kufa mtu. Na kupata mchumba mwingine ni rahsi zaidi.
bora umerudi!
kabla hujakimbia...!MCHANGO WA HARUSI VIPI?😀
 
bora umerudi!
kabla hujakimbia...!MCHANGO WA HARUSI VIPI?😀

icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
ha ha ha ha! ningekuwa na Bank ningekuweka kitengo cha credit collection asinge default mtu hata jeshini unge collect.

Anyway tutawasiliana na Kaizer na Xspin then jioni nitakupigia simu.
 
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
icon10.gif
ha ha ha ha! Ningekuwa na bank ningekuweka kitengo cha credit collection asinge default mtu hata jeshini unge collect.

Anyway tutawasiliana na kaizer na xspin then jioni nitakupigia simu.
wasalimie bwana............
 
hahaha usinichekeshe kifua cha mazoezi eeh ..

....Hicho ni mfano tu wa kifua mwanaume anatakiwa kuwa nacho, haya wanaume angalia hicho kifua kama huna kinachofanana na hicho kale zoezi.
 
....Hicho ni mfano tu wa kifua mwanaume anatakiwa kuwa nacho, haya wanaume angalia hicho kifua kama huna kinachofanana na hicho kale zoezi.

ha ha ha hii ni thread inayojitegemea
icon10.gif
 
....hicho ni mfano tu wa kifua mwanaume anatakiwa kuwa nacho, haya wanaume angalia hicho kifua kama huna kinachofanana na hicho kale zoezi.

sijui na cha binamu nanihii kiko hivyo maana anashinda gym masaa 24
 
Yeah hiyo ni mojawapo ya sifa ya mwanaume!! Sio uwe na kifua ilimradi kifua hata ukimhug msichana hajai kifuani.
..akiwa miraba minne lakini mashine mdebwedo inakuwaje?...
 
Damm! kifua hicho nimekikubali, will they last kweli ama ni bypass tu.
 
Back
Top Bottom