Rihanna Nusu Uchi Katika Gazet La Vogue

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Rihanna msanii anayejulikana ulimwengu mzima kwa sauti ya kutoa nyoka pangoni wakati huu ameamua kupiga picha na gazeti la Vogue.

Upigaji huu wa picha la gazeti hilo ulifanyika nchini Brazil. Riri aliweza kupiga picha hizo akiwa nusu uchi, kifua wazi.

Huku akizungukwa na makumi ya wapiga picha, Riri hakuwa mwoga kuonyesha maungo yake hapo chini.





Chanzo: Rihanna Nusu Uchi Katika Gazeti La Vogue
 
Nimefungua uzi upesi nikijua nitakuta papuchi inachungulia angalau nusu
 
Mimi nimedhani nitaona hata robo.......hivi uchi hasa ni nini........

huwezi kuweka picha za uchi katika JF... Lakini kama kweli watakuona picha zaidi wawezafuatilia chanzo cha habari yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…