Ibrahim300
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 390
- 68
Rihanna msanii anayejulikana ulimwengu mzima kwa sauti ya kutoa nyoka pangoni wakati huu ameamua kupiga picha na gazeti la Vogue.
Upigaji huu wa picha la gazeti hilo ulifanyika nchini Brazil. Riri aliweza kupiga picha hizo akiwa nusu uchi, kifua wazi.
Huku akizungukwa na makumi ya wapiga picha, Riri hakuwa mwoga kuonyesha maungo yake hapo chini.

Chanzo: Rihanna Nusu Uchi Katika Gazeti La Vogue