Rihanna: Super Bowl 2023

Quavohucho

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
798
Reaction score
2,028
12.2.2023 apple music wadhamini wapya wa NFL super bowl half time show, walituletea bonge moja la perfomance,

kutoka kwa Rihanna

Licha ya ukimya kwenye music na kubase sana kwenye biashara ya urembo,

Rihanna amefanya best perfomance ever,

Energy ya kutosha,
live perfomance,
dance,
fashions,
stage kali',
etc,

Hakika show ilikamilika kila sector, na kuacha gumzo kubwa kwa wadau na mashabiki wa music duniani

Katika tamasha hilo Rihanna aliperfom nyimbo 12, zake na nyimbo kadhaa ilizofanya collabo,
kama
wild thought,
run this time, etc
both heat song

Pia kwenye tamasha hilo rihanna kaonesha ana mimba, hiyo ni baada ya mtoto wake wa kwanza kuzaliwa miezi nane iliyopita.

Nimevutiwa na energy ya rihanna katika show hiyo,
kama shabiki wa good music nini kimekuvutia katika tamasha hilo,??
 

Attachments

  • R75OOG6OUZEWRMVAZIESX2KTMQ.jpg.jpeg
    107.9 KB · Views: 7
  • rihanna-super-bowl-1014x531.jpg
    85.9 KB · Views: 11
Walipewa support sasa na wao baadhi ya vitu wanaweza kumudu wao wenyewe
 
Nmeifatilia show mwanzo mpk mwisho:
Nmejikuta narudi vidmate kupaku ngoma za zaman za rihanna na kumfatilia show zake zilizopita.

Kiukweli:
Hii show rihanna katisha sana,
Ile energy,performance&passion Ni nzur sn


Sent using JamiiForums mobile app
Hujaangalia show nzr wewe.

Yaan kati ya best shows za NFL half time hii hamna kabisa
 
Hujui unachoandika.

Halftime show haulipwi hata mia. Ni kawaida hio toka hizo performance zimeanza, so hamna cha kusikitisha hapo
 
Yan watu hamjui kabisa kurate shows.

Au kisa kaingia na parade ya dancers? Kuna wahuni wanaingia peke yao stage ila kinachotokea ni moto.

Kaangalie tena halftime shows zilizopita af urudie hii ndo utaona ni uchwara mtupu.

Yaan nlivokua nmeisubiria kwa hamu lkn imenidiscourage tu
 
Ila amefaidika maana kazi zake zimenunuliwa kwa ongezeko la 640% huko spotify
 
bongo njaa nyingi sana : fiesta tu ya ruge ilileta tafrani kubwa sana,
 
Nikusahihishe kidogo DP…..show za Super Bowl halftime show huwa wanamuziki wanao-peform hawalipwi hata mia ila NFL ndo inasimamia gharama zote za perfromance nzima.. wanamuziki wa kule wanachukulia hiyo opportunity ya ku-perform kama platform ya kujitangaza na kuboost streams zao!…Mfano 2017 mauzo ya album na nyimbo za msanii Lady Gaga yaliongezeka kwa 1000% mara baada ya performance yake ya Super Bowl!….Lisaa limoja tu baada ya rihanna kufanya hiyo performance streams zake zili rocket up vibaya mno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…