toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Yes haulipwi hata mia, NFL wenyewe wanachofanya wanaigaramia ile maandaliz ya show, tiket ya ndege na vitu kama hivyo, sina uhakika na riri kuigharamia show yeye mwenyewe. Ila show ya Super Bowl huwa ina spike music sales za nyimbo za hao wasanii, justin timberlake aliwah perfome music sales zika spike mpaka 584%, lady gaga nae zikaenda mpaka 1000% so basically its all about money. Kisanii sasa incase bad gir riri anataka kudondosha album aidondoshe now sababu ile show imeangaliwa na watu wengi kuliko watu waloangalia main event, kama anataka kurud kwenye game muda ndio huu although she has Fenty and its doing great, and well, now she worth 1.4B, richer that hov who brought her to the mainstream industry..Hujui unachoandika.
Halftime show haulipwi hata mia. Ni kawaida hio toka hizo performance zimeanza, so hamna cha kusikitisha hapo