Rihanna: Super Bowl 2023

Hujui unachoandika.

Halftime show haulipwi hata mia. Ni kawaida hio toka hizo performance zimeanza, so hamna cha kusikitisha hapo
Yes haulipwi hata mia, NFL wenyewe wanachofanya wanaigaramia ile maandaliz ya show, tiket ya ndege na vitu kama hivyo, sina uhakika na riri kuigharamia show yeye mwenyewe. Ila show ya Super Bowl huwa ina spike music sales za nyimbo za hao wasanii, justin timberlake aliwah perfome music sales zika spike mpaka 584%, lady gaga nae zikaenda mpaka 1000% so basically its all about money. Kisanii sasa incase bad gir riri anataka kudondosha album aidondoshe now sababu ile show imeangaliwa na watu wengi kuliko watu waloangalia main event, kama anataka kurud kwenye game muda ndio huu although she has Fenty and its doing great, and well, now she worth 1.4B, richer that hov who brought her to the mainstream industry..
 
Mziki ni hela ukileta ubahili kutoboa ni kazi Dr Dree Mwaka jana kwenye Show ya Super Bowl,show yake katumia zaidi ya USD 7m.
 
Hilo Tamasha la Super Bowl halftime show wasanii wote waliopita hapo akiwemo Beyonce hua hawalipwi ila wanachofanya ni kugharamia mahitaji yote ya msanii katika tamasha hilo.... Malipo hujitokeza pale msanii husika atapanda chat kwenye mainstreams zote mfano nyimbo za Rihanna kama Rude Boy zimepanda na hata manunuzi ya bidhaa zake yamepanda......

Kuwalaumu wasanii wa bongo ni kuwaonea tu maana hata tamasha la aina hiyo hawana pia hakuna guarantee kama watarudisha fedha zao mashabiki wenyewe ndio sie tunaolia bando limepanda.
 

There is time for everything under the Sun!
Acha pupa[emoji35]
 
Ukiita show ya Rihanna best performance ever .

Hii ya Michael Jackson(Super Bowl 1993 ) tuuiteje ?

[ ]

Mie watu nawashangaa kabisa, toka nijitegemee NFL halftime na Grammy perfomances nyingi huwa naziangalia aidha live streamed au recorded, hasa recent years sijazikosa kabisa sababu hapo ndipo unaona ufundi wa muziki.

Lkn team rihanna wanataka kuaminisha kitu ambacho sio kweli hata kidogo. Hii show ilikua ya kawaida sana, inawezekana imeangaliwa na watu wengi sababu tu Riri watu walikua wamemiss, lkn sio sababu ya uzuri wa show
 
Sema wewe humpendi Riri lakini Dunia nzima imeielewa ile show na ameprove once more she is a Queen
Chief/Madam with all due respect mimi ni fan wa rihanna na nilianza kumfuatilia sababu mm ni die hard fan wa JAY-Z. Ila penye ukweli lazima tuseme. Show ya Riri imeangaliwa na watu wengi kwa sababu walikua wamem-miss, alipotea sana kwenye game. Lkn ufundi kwenye ile show ni wa kawaida sana. Em nitajie half time shows alizozizidi Riri ili twende sawa. Kusema hii ni best perfomance ni kuwakosea heshima hata wale madada wawili wa kilatino (JLo na Shakira) walotumbuiza 2020
 
Best Perfomance ever.... hivi ulitaka akate mauno hali ya kua ni Mjamzito?
Jeshi la Mtu mmoja, THE QUEEN
 
Miaka almost 7 bila kuimba wala kuperfome,
Na Dunia ikasimama kumuangalia The Queen akiwa jukwaani,
Kumfananisha MJ wa mwaka 90 na Riri wa mwaka 2023 ni kuonesha jinsi gani she is a Queen
 
Kilichofurahisha watu labda ni kummiss na kuimba hit songs ila unkita hii ni best Super Bowl half time show, unakuwa umepagawa

Ya mwaka jana tu ilikuwa bora, energy kila kitu top notch

Lady Gaga na ile ya beyonce na bruno Mars bado ya prince na Michael Jackson.. Kwa kweli hapana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…