Rihanna

milioni milioni

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
1,845
Reaction score
1,063
Jamani nisaidieni mtanzania mwenzenu,nampenda msanii Rihanna mpaka naumwa,baada ya ebola,ukimwi,mi ndo nafuatia kwa kupenda nitafanyaje?nisaidieni
 
Changisha huto tumilioni milion utampata kaka.
 
genye za utineja utazijua tu...mi mwenyewe nilivyokuwa teenager nilikuwa nafantasize over toni braxton hadi namuota,..leo nina mwanamke mkali kuliko toni...usibabaishwe na kuimba na ustaa...kapige puli!
 
😀😀 puli tena.....
 
Vibaya hivyo ujuw

genye za utineja utazijua tu...mi mwenyewe nilivyokuwa teenager nilikuwa nafantasize over toni braxton hadi namuota,..leo nina mwanamke mkali kuliko toni...usibabaishwe na kuimba na ustaa...kapige puli!

Umemnanikiu toni braxton wa watu weeeeeee
 
Jamani nisaidieni mtanzania mwenzenu,nampenda msanii Rihanna mpaka naumwa,baada ya ebola,ukimwi,mi ndo nafuatia kwa kupenda nitafanyaje?nisaidieni

mkuu mpende tu sio kosa, me mwenyewe sitti mtemvu ningebahatika kumuona ningemuhonga taji la miss tz
 
kademu ka mizinga kale utakaweza?????
 
genye za utineja utazijua tu...mi mwenyewe nilivyokuwa teenager nilikuwa nafantasize over toni braxton hadi namuota,..leo nina mwanamke mkali kuliko toni...usibabaishwe na kuimba na ustaa...kapige puli!
hahaha haaaa
 
Wakuu samahani huu uzi sikuandika mimi naomba mods waufute sijafikia hatua hii kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…