milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,063
Jamani nisaidieni mtanzania mwenzenu,nampenda msanii Rihanna mpaka naumwa,baada ya ebola,ukimwi,mi ndo nafuatia kwa kupenda nitafanyaje?nisaidieni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
genye za utineja utazijua tu...mi mwenyewe nilivyokuwa teenager nilikuwa nafantasize over toni braxton hadi namuota,..leo nina mwanamke mkali kuliko toni...usibabaishwe na kuimba na ustaa...kapige puli!
genye za utineja utazijua tu...mi mwenyewe nilivyokuwa teenager nilikuwa nafantasize over toni braxton hadi namuota,..leo nina mwanamke mkali kuliko toni...usibabaishwe na kuimba na ustaa...kapige puli!
Jamani nisaidieni mtanzania mwenzenu,nampenda msanii Rihanna mpaka naumwa,baada ya ebola,ukimwi,mi ndo nafuatia kwa kupenda nitafanyaje?nisaidieni
mkuu mpende tu sio kosa, me mwenyewe sitti mtemvu ningebahatika kumuona ningemuhonga taji la miss tz
hahaha haaaagenye za utineja utazijua tu...mi mwenyewe nilivyokuwa teenager nilikuwa nafantasize over toni braxton hadi namuota,..leo nina mwanamke mkali kuliko toni...usibabaishwe na kuimba na ustaa...kapige puli!