Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Labda kuna kitu, haiwezekani mke avue pete for a year bila explanation yoyote, jamaa ameruka kipengele, ngoja tusubiri arudi, without sex for a year!2 weeks tuu, napauka uso miewewe unaonaje?
nikuhudumie bila sex for a year....is it fair....?
I do..but ni mtu ambaye anachkua advice sana from other people...na kuzifuata. She mentioned divorce..and then next day you see her talking about new furniture...and I'm like..is she alright...If we're heading for divorce...then what's up with the new furniture..?That means you know her to the extent you can now tell where she stands... What do you think she wants? Marriage or divorce?
The best advice ever...........jamani sometimes huwa ninatamani kuwachapa viboko watu wengine. But hava hivyo some people are very lucky.just stop providing.....and start dating other women....
if its over she will ask for dirvoce
if its not,she will come to you....
she is playing with you...
in that case provide for watoto na necessity zake tu...
date other women....in the process....
Labda kuna kitu, haiwezekani mke avue pete for a year bila explanation yoyote, jamaa ameruka kipengele, ngoja tusubiri arudi, without sex for a year!2 weeks tuu, napauka uso mie
Kwa kweli Rodelite, hi ni serious issue, you have to stand as a man and do something, nafikiri kashaona weakness yako anaplay hayo maeneo, kuna ya kuvumilia coz as for me i dont believe in divorce, la kuna issue ikifikia unamwaga manyanga tu, sababu haiwezekani tena na unabaki unaumia tuKuna mwanamke mmoja ambaye yuko katika process za divorce...they're very good friends..she's pulling her on that side.. Tumekuwa tunagombana for a while about this...lakini mwenzangu mkigombana kidogo..anaamsha ya miaka 10 iliyopita. ugomvi mkubwa ni..we have children..kwahiyo..huwezi kuwa unatoka every night na huyu..yeye yuko single...halafu you can't leave kwa siku mbili..mie sijui umeenda wapi na pia simu hupokei.. kwa hiyo this has been an on going fight brought about by this individual... lakini before that...we were best friends. Even sometimes I see that friend...kama huyu mama hajampigia simu...akipiga tu...basi...vita.
Mkuu Blackberry...I don't believe in divorce either...lakini baada ya mwaka na zaidi...mawazo n.k vimeanza kunipa afya mbaya..BP, depression...kwahiyo naona belief yangu naiweka pembeni...I am now thinking about divorce...for my health..Kwa kweli Rodelite, hi ni serious issue, you have to stand as a man and do something, nafikiri kashaona weakness yako anaplay hayo maeneo, kuna ya kuvumilia coz as for me i dont believe in divorce, la kuna issue ikifikia unamwaga manyanga tu, sababu haiwezekani tena na unabaki unaumia tu
I do..but ni mtu ambaye anachkua advice sana from other people...na kuzifuata. She mentioned divorce..and then next day you see her talking about new furniture...and I'm like..is she alright...If we're heading for divorce...then what's up with the new furniture..?
Kuna mwanamke mmoja ambaye yuko katika process za divorce...they're very good friends..she's pulling her on that side.. Tumekuwa tunagombana for a while about this...lakini mwenzangu mkigombana kidogo..anaamsha ya miaka 10 iliyopita. ugomvi mkubwa ni..we have children..kwahiyo..huwezi kuwa unatoka every night na huyu..yeye yuko single...halafu you can't leave kwa siku mbili..mie sijui umeenda wapi na pia simu hupokei.. kwa hiyo this has been an on going fight brought about by this individual... lakini before that...we were best friends. Even sometimes I see that friend...kama huyu mama hajampigia simu...akipiga tu...basi...vita.
You're right on this one...Thanks.she is using you..
she knows you are a nice guy......
she needs a bad boy to learn....
can't do that. Familia yake inampenda huyu mwanamke...Kama meshahisi chanzo ni huyo mwanamkE mwingine do something to waken up your wife, separate them hata ikibidi kuhama nje ya mji so that again akili yake!!
wewe date other women
halafu akisema dirvoce,mwambie sawa....
utaniambia......atajirudi mwenyewe..
mwanamke wa hivyo hatari saana...si ajabu huyo shosti wake
anamtafutia mpaka waganga wa kukuweka sawa.....hizo type zao....
ungekuwa ndo mimi.nahama na nyumba,na simwambii na kaa wapi...
unakuja kuona watoto na kuprovide mahitaji tu...hasa kwa watoto....
comn man be a MAN.... Mkeo is your family not familia yake!! Chukua maamuzi magumu shemeji! Familia yake has got nothing to do with what happens kwenye familia yako, what decisions you take for your family as you are the Head of your family, aren't you?!can't do that. Familia yake inampenda huyu mwanamke...
comn man be a MAN.... Mkeo is your family not familia yake!! Chukua maamuzi magumu shemeji! Familia yake has got nothing to do with what happens kwenye familia yako, what decisions you take for your family as you are the Head of your family, aren't you?!
Mydia kituko nimerespond hivyo kwa kuwa amesema kuna mwanamke aknayemuinfluence mkewe kufanya hayo ayafanyayo........kama ni influnce si aiondoe/kimbie?? Pengine mkewe is so naive kiasi kuwa anaona kila aambiwacho na huyo mwanamke ambaye ameshaachika ni sahihi na kama jamaa anampenda mkewe basi amuepushe na hilo guberi! Kwa nini kukimbilia kuharibu kama kuna uwezekano wa kuweka viraka?? Watu wanakaa miaka bila 'ndoa' na bado inakuja kuwa renewed!!.issue ya kuvua pete na kunyimwa unyumba kwa mwaka mzima sio masikhara, maana hii issue itaenda na mwisho wa siku Rodelite ataonekana yeye ndio chanzo cha yote
mi si afiki kabisa akimbie nyumba ama atafute mwanamke mwingine, hapo hakuna tena ndoa, huyo mama anajiamini sana (rudia tena maelezo ya Rodelite)
Asante sana Mkuu...hayo uliyoweka hapo juu ni kweli. Nilipenda kupita kiasi kwahiyo hata ishara za hatari sikuziona. Heshima ilipopungua, nikaanza ku-comfront the issues..heshima ikawa imeshapotea..."anajiamini" so..kweli sina ndoa. watoto sio wakubwa sana..lakini nimekuwa naongea nao taratibu nisiwachanganye..nao pia wanaona..siwaambii anything negative about their mother. Nawashukuru wote humu JF kwa kunipa confidence ya kuchukua next step...divorce.Pole Mkuu Rodelite
Japo unaeleza habari yako nusunsu lakini ni habari yenye kusikitisha sana
Kwa kifupi kitendo cha mwanamke/mwanaume kuvua pete mbele yako na kukwambia, ni kigezo tosha cha hiyo ndoa kuisha, watu wanagombana lakini ikishafika hiyo hatua ni basi tena
Tatizo ninaloliona hapa ni la muda mrefu, namaanisha ulikuwa unatawaliwa (Lugha ya mtaani) na mkeo kwa njia moja ama nyingine, labda kwa kipato, elimu, au ulimpenda kuliko kiasi na yeye alilijua hilo, yaani hukusimama kama mwanaume "(ulienda na wakati zaidi)", kwa maelezo yako huyo mkeo anajiamini kwamba anaweza kusimama mwenyewe na keshaonja hayo maisha kwa kupitia kwa rafiki zake
kwa kifupi hapo huna mke kwa sasa na kiukweli hata wewe unalijua hilo, nadhani tatizo kubwa lipo kwa watoto wako ndilo linalokutisha kufanya divorce, kwa miaka mliyokaa nadhani mna watoto wakubwa na kama ni kweli basi mchezo mzima wameshauona na labda mnawaumiza kisaikolojia,
hakuna releif kubwa utakoyoipata kama kuiweka wazi kwa watoto wenu, waite chini uwaeleze kinachoendelea na kwa mwenendo unaouelezea (mama kulala siku mbili nje) watoto watakuelewa vizuri sana, baada ya hapo anza maisha mapya ya ubachelor, tafuta maid mzuri wa kulea familia na usionyeshe kwa watoto kabisa kuwa una uhusiano na mwanamke yeyote maana wanaweza kujaji kuwa we unaweza kuwa chanzo cha divorce
jiweke free na huru, maisha ni yako usiogope majirani watasema nini, mpe divorce huyo mama na wewe anza maisha mapya kabisa na iweke wazi kwa kila mtu kuwa mmeachana, ukweli na uwazi utakupa uhuru na kujiamini sana
hapo huna mke kaka
Nimejaribu sana..lakini kuna sapoti ya bibi na shangazi..ambao pia wako peke yao...labda wanataka awa-join katika single life. Kweli mke alikuwa naive for a while lakini kwa sasa..mimi nimechoka...mwaka ni mwingi...na mimi pia nimeivua pete...nikijitayarisha na kuachana. Kitu kikubwa ntakachofanya ni kuhakikisha watoto wana hali nzuri...and I want to be there for them always. I don't want them to feel any hurt from my departure. I will make sure I see them at least 4 to 5 times a week.Mydia kituko nimerespond hivyo kwa kuwa amesema kuna mwanamke aknayemuinfluence mkewe kufanya hayo ayafanyayo........kama ni influnce si aiondoe/kimbie?? Pengine mkewe is so naive kiasi kuwa anaona kila aambiwacho na huyo mwanamke ambaye ameshaachika ni sahihi na kama jamaa anampenda mkewe basi amuepushe na hilo guberi! Kwa nini kukimbilia kuharibu kama kuna uwezekano wa kuweka viraka?? Watu wanakaa miaka bila 'ndoa' na bado inakuja kuwa renewed!!.