Ring or no ring...

hahahahha....kweli binadamu haridhiki, umetoka kwenye micharuko umepata mpole bado unataka kumcharua, umemiss micharuko? hebu tulia huko ule raha za dunia hizi zilizobakia......
Hhahahahahahaaaaaaaaaaa nyamayao si unajua tena.....mpaka nije nizoee loh lazima iko siku ntamcharua hahahah ila ananielewa atachukulia ni uchokozi tu wa kawaida hahaha I wish!!

Lol Gaga we mwache bi shost ajidanganye na huyo mwalimu wake mbona atajajuta siku bwana Roj nani sijui ataposhika hatamu!? Natamani aishike leo hah
 
Alichokiunganisha Mungu binadamu hawezi kukitenganisha, its better kukaa chini kwa utulivu na kutatua matataizo yenu huku mkishirikisha Mungu na hamna litakaloshidikana!
 
BlackBerry; Labda kuna kitu, haiwezekani mke avue pete for a year bila explanation yoyote, jamaa ameruka kipengele, ngoja tusubiri arudi, without sex for a year! 2 weeks tuu, napauka uso mie

BB umenichekesha mie hapo kwenye red. Inamaana mumeo/mchumba akisema anaenda masomoni kwa mwaka mmoja itakuwa imekula kwake? Huwezi vumilia?

 
kweli mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!

Move on kaka huna mke hapo!
 

Elewa kumvumilia mtu unaishi nae, mume/mpenzi,yaani unaiona tu inapitapita chumbani inaning'inia, anavaa anaondoka kwa mwaka mzima, au unamsubiri mpenzi aliyesafiri kishughuli, ni vitu viwili tofauti,akiwepo kwa kweli napauka uso
 
BlackBerry; Elewa kumvumilia mtu unaishi nae, mume/mpenzi,yaani unaiona tu inapitapita chumbani inaning'inia, anavaa anaondoka kwa mwaka mzima, au unamsubiri mpenzi aliyesafiri kishughuli, ni vitu viwili tofauti,akiwepo kwa kweli napauka uso.

Ni kweli hiyo ni haki yako ya msingi lazima uipate, kama hakupi lazima umuulize utaratibu ukoje. Nimekupata.
 
Huwa nasikitika sana pindi napoona ndoa zinasambaratika ilhali mwenza mwingine bado yu na hitaji. Natamani huyo mwanamke na wengine wote wenye tabia ka zake wasome hapa labda wataelewa. Eee Mungu rahisisha roho ya huyo kiumbe kwani ni muhimu sana kwa faida ya watoto na familia kwa ujumla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…