Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

Jobless_Billionaire

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2022
Posts
3,106
Reaction score
8,101
Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me

download (1).jpeg
 

Attachments

Pamoja sana kaka hizi nyimbo mbili ni kaliii sana yaani ngoja ya ngwair niiweke kaka 😂😁
ohoo! haya nakupa na hii as a bonus
busta rhymes akiwa na Maria Carey I know what you want.. hiyo ni remix ya beat niliifuma kuna mwanadada fulani aliipiga nikaipenda!..
 
Sim 1 ringtone.
Premier league anthem/matchday intro 2016/2017

Sim 2
Premier league anthem/matchday intro 2018/2019

Hakuna kitu napenda kusikia masikioni kwangu kama hizi soundtracks hasa hiyo ya 2016/17. Waliopika hizi wanajua sana.

All for the love of English premier league.
 
Nina mwaka wa 6 sasa sijawahi kuweka tena ringtone wala vibration. Simu yangu iko silent siku zote na sijawahi kujutia.
 
Back
Top Bottom