msomi duni
Member
- Apr 11, 2024
- 90
- 301
Aisee mi nishasahu ringtone ya music tangu nianze kutumia iphone ringtone yangu ni ile ile na kiswaswadu changu ni vibration tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani nina zaidi ya miaka 10 huwa siweki ringtone za nyimbo yani naenjoy zile ringtone za simu yenyewe kuliko nyimbo. Nilianza kuwa hivyo baada ya kutumia iPhone maana ilikuwa hakuruhusu kufanya hivyo hata sasa nimerudi android lakini ni mwendo huo huo.Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_meView attachment 2989802
Wewe si Rais wa wakataa ndoa Mkuu? Wasiwasi huo vipi tena?
Kumbe ndoman cm zangu hupokei mda mwingineIlikuwaga Tribulation ya dizasta..
Ila kwa sasa ni mwendo wa vibration tu
ah wapi, huo wimbo napendea vinanda sanaaWasiwasi huo vipi tena?
😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌..Kumbe ndoman cm zangu hupokei mda mwingine
😂😂🙌🙌🙌Aisee kitu Huwa sikumbukag ni ringtone yoyote twende tu Ili mradi iwe inatoa saut
Sio ajabu, ni sawa na wale wanaoshangaa watu kutumia facebook.Hv bado kuna watu wanaweka wimbo kama ringtone mpaka leo hii? 😀😀
Duh asee!!!