Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

Pamoja sana kaka hizi nyimbo mbili ni kaliii sana yaani ngoja ya ngwair niiweke kaka πŸ˜‚πŸ˜
ohoo! haya nakupa na hii as a bonus
Your browser is not able to play this audio.
busta rhymes akiwa na Maria Carey I know what you want.. hiyo ni remix ya beat niliifuma kuna mwanadada fulani aliipiga nikaipenda!..
 
Sim 1 ringtone.
Premier league anthem/matchday intro 2016/2017
Your browser is not able to play this audio.

Sim 2
Premier league anthem/matchday intro 2018/2019
Your browser is not able to play this audio.

Hakuna kitu napenda kusikia masikioni kwangu kama hizi soundtracks hasa hiyo ya 2016/17. Waliopika hizi wanajua sana.

All for the love of English premier league.
 
Nina mwaka wa 6 sasa sijawahi kuweka tena ringtone wala vibration. Simu yangu iko silent siku zote na sijawahi kujutia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…