Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_meView attachment 2989802
Yani nina zaidi ya miaka 10 huwa siweki ringtone za nyimbo yani naenjoy zile ringtone za simu yenyewe kuliko nyimbo. Nilianza kuwa hivyo baada ya kutumia iPhone maana ilikuwa hakuruhusu kufanya hivyo hata sasa nimerudi android lakini ni mwendo huo huo.
Ila ikitokea nimeweka basi itakuwa theme ya movie au series kama vile ile Now we are free, au Jumong track 7.
 
mimi nimeweka ule mdundo wa kalapina mstari wa mbele, huwa sipendi isikike sauti ya mtu simu ikiwa inaita
 
Kumbe ndoman cm zangu hupokei mda mwingine
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ..
Tatizo kuna muda unapiga mi nipo na aunt...
Wee unataka uniharibie sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Au utaki tufaidi mapesa ya mshangazi huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…