Rio aporwa bwana na rafiki yake

ebu usituchekeshe tulionuna babu!! utakua shitimbi wewe
 
sihami hapa leo!! sio kwa ubuyu huu
 
Kuna mtu humu ndani alisema huyu 'choko' yupo 'smart' sijajua usmart wake ni upi?
 
Makubwa haya daah. eeh mwenyezi Mungu tusaidie
 
eeekheee watakuwa wamezidiana maujanja
 
Heheheh itajulikana tu,heehehehehe wasije kutukamataa
 
Hao ambao hawana scandal unawajua wake zao?
 
martin tunamshuku tena sana tu..
martin, wema anavaa mbele take na wala hashtuki...
demu wa martin hatumjui?
pozi zake ?? mfatilie
labda huyo sheria ngowi.!!.
afu rio ndo mwanamitindo ambae international kwa sasa...
 
Kuna mtu humu ndani alisema huyu 'choko' yupo 'smart' sijajua usmart wake ni upi?
kuna machoko, mashoga na wadhalilishaji!!
machoko ndo kina kaoge, wakina mtoto wa mama..
mashoga/gays ndo hawa kina rio ni watu wako smart ila wana muonekano wa kutia shaka.. ila hawajadhihirisha
na huwakuti wanaranda hovyo hovyo...
wanakua na shuguli muhimu, hawajichetui hovyo..
lakini watu wanajua ni gays (wakina davito)

afu kuna wadhalikishaji hawa sasa ni wanaume kabisa wana midevu ,wameenda gym wana miili ya uwanaume
lakini wanakazwa( hawa ndo wananichefua kuliko wote) na ndio wanasababisha saivi njemba tuziogope.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]
Khaaaaa kweli wanaume wanazidi kupotea. Mungu bariki matumbo yetu
binamu sina hamu kabisa na mtoto wa kiume kila nikiwaza hili suala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…