ebu usituchekeshe tulionuna babu!! utakua shitimbi weweHao wapuuzi ndio wanafanya watu wawe na mtazamo wa kufikiri kila mbunifu wa mavazi na wanamitindo wa kiume ni mashoga mbona wenzao wakina Martini kadinda na Sheria Ngowi hawana skendo za kijinga hivyo na wanafanya kazi kimataifa mbaka wamekuwa mfano wa kuigwa kwa vijana wenzao!