Rio aporwa bwana na rafiki yake

Na nukuu FID Q, " MJINGA UTA SHANGAA KUONA ETI MARTIN KADINDA" sasa kaa chini chambua punch hio....
 
Hapana siwajui wake zao ila Sheria Ngowi huwa anaukaribu sana na binti wa Mzee Makamba huenda ndio mtu wake!
Hapana watakua marafiki!sheria ngowi ameoa na ana watoto/mtoto
Kuna semina moja nilihudhuria yeye na yule tonny insiration sijui(jina la instagram) alisema kabisa watu hawajui habari zake ila ana mke na mtoto kama sio watoto na akatuonesha picha
Mumtoe kabisa kwenye hyo dhambi ya ushoga
 
Sisemi kuwa mtajwa ni shoga ama LA (after all ni maisha yake) lakini kuwa na watoto siyo ishu hasa katika jamii yetu ambapo watu hawa bado wananyanyapaliwa sana. Hata Marekani kwenyewe mpaka wapate courage ya kutoka out of the closet ni kazi ngumu pamoja na kwamba ushoga ni halali. Hiki ni kitendo cha aibu sana na wengine hutumia ndoa na familia kama kichaka halafu siku ya siku mtu anakuwa exposed mnabaki mnashangaa. Sema tu siku hizi sheria ya makosa ya mtandao inambana mpaka Shigongo kiasi kwamba front page news za kashfa hizi zimepungua na sijui hata kama hiyo OFM yake bado ipo.
 
Kua na mtoto haizuii mtu kua na mke
 
Mkuu katika maelezo yangu sijamhusisha na ushoga kama ukifatilia pointi yangu vizuri utanielewa
 
Mnazidi kupungua
Ahaaa hiyo kweli isiyopingika.....mi nataka nicover nafasi ya wanaume kama watatu hivi.....kila mmoja angekuwa na wawili au watatu...sa hiyo idadi ihamie kwangu....so nakuwa na wanawake wanne au tisa....hapo kila mtu anaenjoy kwa nafasi yake[emoji13] [emoji13][emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Sheria Ngowi sawa ila huyo Martin nae bwabwa tu kutwa kuchwa yupo na wema sepetu anakaa kama punga
 
Sheria Ngowi sawa ila huyo Martin nae bwabwa tu kutwa kuchwa yupo na wema sepetu anakaa kama punga
Mkuu ukaribu wake ni kwasababu ndio meneja wa wema jaribu kuandika vitu ambayo mnauwakika navyo na sio kuchafua watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…