Rio Frednand haja post ziara yake nchini TANZANIA kwenye social platforms zake

Rio Frednand haja post ziara yake nchini TANZANIA kwenye social platforms zake

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Nyota wa zamani wa Man U na team ya Taifa England yupo Tanzania Kwa ziara ya siku mbili, na kesho anatarajiwa kufika Dodoma Bungeni

Ujio wake tulitegemea awe balozi wa utalii na michezo

Ila naona yeye alivochukulia ni kama ametokea Bunju B kwenda Kawe, yaani amechukulia kuwa ni jambo la kawaida mno

Kumbuka huyu kalipwa fedha nyingi za walipa Kodi ili kuja hapa kimya kimya
 
Back
Top Bottom