Baada ya km 10 mtz yupo nafasi ya 29 toka nafasi ya 12 walipofikia km 5.... anarudi nyuma kwa kasi...
Dada yetu wa kitanzania naona ashachoka. Alikuwa kundi la mbele sasa hivi kaachwa mbali Sana. Disappointing Sana. Inabidi tuchukue vijana wakafanye mazoezi Kenya. Tuache ego haitusaidii kitu.
Usimsahau na huyo mbulgaria. ....Kuna Hawa wadada 3 wa kimarekani wanakwenda sambamba na waafrika. Tusubiri last 5km tuone itakuwaje
Usimsahau na huyo mbulgaria. ....
Kashinda Mkenya. ..Wakenya wameuza wakimbiaji wao kwa waarabu wa bahrain ,hivyo wasitegeeme medali kwenye hii marathoni labda waethiopia.
Nafasi ya pili ilikuwa yao vile vile kama asingehamia bahrainKashinda Mkenya. ..
Amekuwa wa 121Nimeitizama hadi nafasi ya 53, hakuna jina la mtz! Sio ajabu ameishia njiani...
Fainali ya mita 100 ni saa 10 na dk 25 alfajiri. .. Aidha ratiba ya riadha itaanza saa 8 usiku...final za m100 na m 400 saa ngap na lini wadau
mmh muda huu usingizi ndio umenogaaa...mmh nisubiri tu marudioFainali ya mita 100 ni saa 10 na dk 25 alfajiri. .. Aidha ratiba ya riadha itaanza saa 8 usiku...