PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Baada ya km 10 mtz yupo nafasi ya 29 toka nafasi ya 12 walipofikia km 5.... anarudi nyuma kwa kasi...
Kama anakimbia kwenda nyuma. Yaani kilo mita 15 Tu hajulikani alipo. Ngoja tumpasapoti hivyo hivyo ndio wa kwetu. I hope japo atafika finishing line.