Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Alfajiri ya leo, Fainali mita 800 M, ikifuatiwa na Fainali mita 400 W
Ilikuwa close. .. Ile mbizi ya Shaunae Miller ilikuwa kali!
i knew it!David Rudisha amefanikiwa kutetea taji lake la mita 800.....
hivi ile mbizi alidhamiria kweli au alijikwaa? ila mi sijapenda kwa kweli ile gold ilikuwa ya allyson.Ilikuwa close. .. Ile mbizi ya Shaunae Miller ilikuwa kali!
Alikuwa anarecover from falling down! Ila inaonekana ka amepiga mbizi. ...hivi ile mbizi alidhamiria kweli au alijikwaa? ila mi sijapenda kwa kweli ile gold ilikuwa ya allyson.
Mkuu unaota mchana wote huu!Fabiano Joseph has done it in Rio de Janiero, becoming the first athlete from Tanzania to win gold medal in the 2016 Olympic Games.Fabiano Joseph completed at 2:02:55. A new world record.
Moko hiyo ndoto yako ikiwa kweli mapokezi barabara zoote zingefungwa,,,,,,, angepewa kiwanja.........., Tv zote za kibongo ambazo kwa sasa hawatuonyeshi live wapenzi wa riadha tujue vijana wetu wanaendeleaje watajitokeza kwa fujo airport kujifanya walikuwa naye bega kwa bega .........???Fabiano Joseph has done it in Rio de Janiero, becoming the first athlete from Tanzania to win gold medal in the 2016 Olympic Games.Fabiano Joseph completed at 2:02:55. A new world record.
jamani huyu si ni mmsai? hawa wa huku kwetu wameamua kuwa wasusi....Watanzania tuna mambo sisiDavid Rudisha
View attachment 382343