Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Alfajiri ya leo, Fainali mita 800 M, ikifuatiwa na Fainali mita 400 W
Naam, hapa namsubiri Allyson achukue dhahabu kwenye 400m ili Team USA tuongeze idadi ya medali!
Mpaka dakika hii Team USA ina medali 72 ikifuatiwa kwa mbali na China yenye medali 46.
USA baby