Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

USA wana jumla ya medali 97.

Wanaofuatia ni China na medali 58.

No contest.
 
Nikitazama uvunaji wa medali katika mashindano haya, hupenda kutazama kwa mfumo huu....
  1. European Union wana gold 81
  2. United States wana 30
  3. China wana 19
  4. Russia wana 12
  5. Japan wana 10
  6. Australia wana 7
Hizo medali za EU ni pamoja na za Uingereza. ...(21)
 
Reactions: BAK

Hahahaaaa...kwa hiyo EU wamepeleka timu moja ya EU, siyo?

Caribbean je?

Mbona AU sijaona ukiwaweka hapo?

Au ikija kwa Afrika unatizama nchi binafsi na si jumuia yote?

Sijawahi kuona mtizamo wa kiupendeleo kuliko huo aisee.

Kubali tu USA haina mpinzani..iwe kwenye dhahabu...fedha...wala shaba.

Na wameongeza ingine ya dhahabu...Ashton Eaton...kwenye decathlon.
 
USA bags another gold!

Delilah Muhammad.

The USA has 100 medals!
 
Reactions: BAK
Kamanda ni mtazamo tu! Haaaa haaaaa haaaaa!

AU Umoja wao sio sawa na wa EU ndiyo maana sijawafikilia. ..
 
Kamanda ni mtazamo tu! Haaaa haaaaa haaaaa!

AU Umoja wao sio sawa na wa EU ndiyo maana sijawafikilia. ..

Teh teh teh...sio sawa kivipi?

Umemuona bibie Delilah lakini?

Kaongeza dhahabu kwenye kapu la USA.

She is very cute πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›I am also very happy that relay team was allowed to compete again after their mishap this morning.

USA bags another gold!

Delilah Muhammad.

The USA has 100 medals!
 
She is very cute πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›I am also very happy that relay team was allowed to compete again after their mishap this morning.

Yes.

I'm badly rooting for Allyson Felix to get a gold medal.

Hopefully the US team will win tomorrow night.
 
Yes.

I'm badly rooting for Allyson Felix to get a gold medal.

Hopefully the US team will win tomorrow night.
Nini kimemkuta Lashawn Merritt, sijamwona katika fainali hii ya mita 200.....πŸ˜€
 
I hope so too, Allyson IMO was robbed of her gold medal from that diving girl from Bahamas.

Yes.

I'm badly rooting for Allyson Felix to get a gold medal.

Hopefully the US team will win tomorrow night.
 
I hope so too, Allyson IMO was robbed of her gold medal from that diving girl from Bahamas.

That makes two of us.

I think a runner has to cross the finish line on his/ her feet in order to be considered a complete run.

Falling doesn't cut it for me.

It's just not fair.
 
Reactions: BAK
Agreed

That makes two of us.

I think a runner has to cross the finish line on his/ her feet in order to be considered a complete run.

Falling doesn't cut it for me.

It's just not fair.
 
Kenya alienyang'anywa medals alikua na kosa gani?
 
Kenya alienyang'anywa medals alikua na kosa gani?
Ni baada ya kutoka nje ya track mara baada ya kuruka kiunzi cha maji, team ya Ufaransa ndio iliyolalamikia kitendo cha Kemboi kukimbia nje ya track!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…