Rio Olympics 2016: 31st Games set for opening ceremony

Idadi ya watu weusi huko Colombia ni 10% tu, lakini timu ya taifa ya mpira wa miguu karibu yote ina watu weusi tu; weupe hawazidi watatu, ikiwa ni pamoja na wale wa benchi.
 
Leo Mtanzania atashiriki mashindano ya kuogelea ya mita 50.
 
Wengine wamekosa medali wameaumbulia ulemavu tu
 
Matokeo ya mita 50 ya kuogelea fyreestyle ambapo Mtanzania Hilal Hemed Hilal, aliweza kuongoza kundi lake kwa sekunde 23.70, yamemfanya aweze kushiriki katika ngazi ya medali. ..

Kila la heri kwake, kwani bado ana nafasi nzuri ya kushinda medali. ....
 
Hapana mkuu. Ameongoza kwenye kundi lake lakini muda wake haukuwa mzuri kwa hio hajafuzu kuingia nusu fainali.
 
Mechi ya rugby baina ya Fiji na GBR ilikuwa nzuri.....
 

Philip Hindes, Jason Kenny and Callum Skinner show off their gold medals.
 

Vatemo Ravouvou leavesDan Bibby of Great Britain in his wake as Fiji win the men’s rugby sevens gold medal.
 

Viliame Mata and Ro Dakuwaqa celebrate as they win gold after the Men’s Rugby Sevens Gold medal final match
 

Great Britain’s team pull away at the start. Photograph
 

Callum Skinner, Jason Kenny and Philip Hindes of Great Britain celebrate after winning gold and getting an Olympic record in the Men’s Team Sprint.
 

Gabby Douglas (fourth from right) during the medal ceremony
 
afrodenzi inadaiwa bega la mkono wa kulia linamsubua tangu baada ya kumalizika Wimbledon Grand Slam, hata mwezi uliopita kuna mashindano ambayo alitakiwa kushiriki lakini akajitoa dakika za mwishi na kusema bega lake linamsumbua. Natumai atalipatia tiba kabla ya US open inayoanza wiki ya kwanza ya September.

Katika watu ambao nilikuwa nategemea watachukua Gold ni huyu dada Serena Williams.
Hii ndio raha na Karaha ya Olympic unaedhania ndie sie. Bado ni number moja kwenye list
yangu ya wachezaji bora duniani.
 

Simone Manuel, left and Penny Olkeksiak, right, touch the wall together to tie and both win gold medals.
 

USA’s Simone Manuel, left, and Canada’s Penny Oleksiak celebrate winning joint gold.
 

Simone Biles, left, Aly Raisman celebrate winning gold and silver respectively at the women’s individual all-around final.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…