Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu. Ameongoza kwenye kundi lake lakini muda wake haukuwa mzuri kwa hio hajafuzu kuingia nusu fainali.Matokeo ya mita 50 ya kuogelea fyreestyle ambapo Mtanzania Hilal Hemed Hilal, aliweza kuongoza kundi lake kwa sekunde 23.70, yamemfanya aweze kushiriki katika ngazi ya medali. ..
Kila la heri kwake, kwani bado ana nafasi nzuri ya kushinda medali. ....
Dah! That is sad! Very sad indeed!Hapana mkuu. Ameongoza kwenye kundi lake lakini muda wake haukuwa mzuri kwa hio hajafuzu kuingia nusu fainali.
Kweli kabisa. African nations need to pull up their socks on the "technical" sports.Dah! That is sad! Very sad indeed! View attachment 379804
Itabidi kujiuliza tena kwa nini michezo ilifutwa mashuleni. .....!Kweli kabisa. African nations need to pull up their socks on the "technical" sports.
Katika watu ambao nilikuwa nategemea watachukua Gold ni huyu dada Serena Williams.
Hii ndio raha na Karaha ya Olympic unaedhania ndie sie. Bado ni number moja kwenye list
yangu ya wachezaji bora duniani.
![]()