Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Khe kheeee kheeee. ... labda amehusu umasai, ila sikumbuki kama kuna Mmasai mwenda mbio!jamani huyu si ni mmsai? hawa wa huku kwetu wameamua kuwa wasusi....Watanzania tuna mambo sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khe kheeee kheeee. ... labda amehusu umasai, ila sikumbuki kama kuna Mmasai mwenda mbio!jamani huyu si ni mmsai? hawa wa huku kwetu wameamua kuwa wasusi....Watanzania tuna mambo sisi
mwenzangu nimemsoma huko wikipedia wameandika eti ni mmasaiKhe kheeee kheeee. ... labda amehusu umasai, ila sikumbuki kama kuna Mmasai mwenda mbio!
no mmasai huyo jona lake la kati ni lekuta, hata tz nimelisikia kwa wamaasai.mwenzangu nimemsoma huko wikipedia wameandika eti ni mmasai
daah nimeshaikosa hiiMbio za awali kwa mita 5000 M, kuwa hewani saa 10 na dk 05... Kumbuka yule bingwa wa Dunia ktk mita 10,000 Mo Farah atakuwepo!
Ni heat tu!, cha msingi ni kuwa Farah amesonga mbele pamoja na yule Mkenya wa zamani Lagat ...daah nimeshaikosa hii
Washiriki wapo, ila ni kwenye marathoni, kuogelea na judo. ... Jumapili usiwe mbali kuwaona kwenye marathoni...Watanzania tunatia simanzi kwa kweli, yaani hatuna hata washiriki humu. Wale wakimbiaji wanaofanya mazoezi uwanja wa Taifa kila siku wako wapi?
Naona Nigeria wanapewa sapoti kubwa na raia wa Brazil ila daaah hawana bahat matokeo Germany 1 Nigeria 0
Mechi hyo hyo ila goli la pili limefungwa dakika ya 89Hivi umeangalia mechi gani, Mbona matokeo ya mechi ni tofauti? Germany imeshinda goli 2-0.