Rio Olympics: Kenya's medal Count

NairobiWalker

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
14,267
Reaction score
14,890
This is the update thread of our medal count in Rio.

Gold - 6
Silver - 7
Bronze - 0

Jemima Sumgong - Women's Marathon - Gold

David Rudisha - Men's 800m - Gold

Faith Kipyegon - Women's 1500m - Gold

Eliud Kipchoge - Men's Marathon - Gold

Consensus Kipruto - 3000m steeplechase - Gold

Vivian Cheruyiot - 5000m women - Gold

Vivian Cheruyiot - Women's 10000m - Silver

Paul Tanui - Men's 10000m - Silver

Hyvin Jepkemoi - Women's Steeplechase - Silver

Boniface Mucheru - 400m hurdles - Silver
Helen Obiri - Women's 5000m - Gold

Julius Yego - Javelin - Silver

Wambui Nyairera - women's 800m - Silver
 
hao mnafukuzwa tu huko rio
 
We don't have plenty of gold, silver or bronze in the ground, but plenty around our necks.
Kama kawaida yenu manyang'au, mmepeleka tabia zenu za hovyo huko Rio, but this time wamewastukia, aibu tupu..
Nyang'au will always be nyang'au, hata akizeeka kichwani busara na hekima ni sifuri (Big zero)
Hizo tabia huku huwa wanafanya watoto wa std 4, nashangaa Kenya wazee wanafanya..
You guys is a joke.
 

Hehehe naomba sana kwa muda nipo humu duniani nisiwahi kuwa na hizi roho zenu za chuki nyie wala albino. Yaaani mnaishi maisha magumu sana, roho nyeusi zinazoiva kwa majungu, wivu na chuki kila uchao. Hayo ni maisha ya hatari sana maana unaowaonea wivu na chuki wanazidi kutanua, wanazidi kukuacha nyuma, wanazidi kunawiri, wanazidi kubarikiwa ilhali wewe unazidi kuumia huku umekaa kitako kwa uvivu na uzembe, umebarikiwa na kila aina ya raslimali, lakini kwa jinsi ulivyo na roho nyeusi ya chuki, unaishi kuwa maskini wa kutupwa miaka yote.
 
so tumeanza kudope tangu 1968 hahaha, mtz na uzembe angalau uende mji wa Iten uangalie mazoezi huko kuliko kuketi kitako ukiwashutumu watu wanaojituma
 
so tumeanza kudope tangu 1968 hahaha, mtz na uzembe angalau uende mji wa Iten uangalie mazoezi huko kuliko kuketi kitako ukiwashutumu watu wanaojituma
Sio Mimi nasema haya, dunia imesema
 
Umetokwa povu kweli. , hayo siyo majungu, ni ukweli mkuu., au nmeandika uongo??
 
Umetokwa povu kweli. , hayo siyo majungu, ni ukweli mkuu., au nmeandika uongo??

Nope sijatokwa na povu, ila ni dua kwamba kwa maisha yangu nisiwahi ishi maisha kama hayo. Yaani miaka yote unamchukia mtu na kumwonea kila aina ya wivu lakini anaendelea kukuzidi kwa kila kitu kila uchao, hayo ni mateso makubwa sana jamani, inatamausha hadi kuzimu. Halafu mnapokezana hizo chuki kizazi baada ya kizazi, babu zenu, baba zenu, na nyie leo halafu kesho watoto wenu....duh
 
....awarded after doping [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji85]
Subira huvuta heri, jirani. Sitajisumbua na madai yako ya sijui doping. Umekaribishwa mji wa Iten nchini Kenya ujionee na sio usiambiwe. Ingekuwa bora ufungue uzi wenu wa kuhesabu zenu medali pindi zitakapoingia
 
Kwa desturi, bara afrika wanasubiria kupata medali, japo machache, toka kwetu. Nyangau will always win medals, the young ones are keenly following the footsteps of their seniors and they know they will make it someday. If you want to be happy at the sight of your countrymen winning medals, it's better to be a nyangau.
 
hao mnafukuzwa tu huko rio
sisi wenyewe ndo tuliwaregesha kenya ili washtakiwe na wasiharibie wanariadha ile spirit ya olympic.. wala hawakufukuzwa na mtu yoyote.


wakenya ndo wanashikilia medali nyingi zaidi kwa riadha kuliko nchi yoyote duniani, tangu miaka ya 60's. hebu tuambie tz imeshinda medali ngapi olympic zote ukichanganya?
 
Paul Tanui, thanks for bringing us another medal. Our medal count comes to two now.
 
Paul Tanui, thanks for bringing us another medal. Our medal count comes to two now.
Hongera zenu. Further 3 athletes have qualified for 800 m men and 3 ladies have made it to the finals of 3000 steeplechase. Expecting fireworks hasa 800m finals. We are enjoying every moment kutoka home of champions Eldi.
 
Hongera zenu. Further 3 athletes have qualified for 800 m men and 3 ladies have made it to the finals of 3000 steeplechase. Expecting fireworks hasa 800m finals. We are enjoying every moment kutoka home of champions Eldi.

Asante simplemind hiyo ndio spirit ya kweli ya Afrika Mashariki, tujivunie hawa mashujaa wetu wa ukanda huu wa EAC. Nimefurahi sana kuona Wakenya na Waethiopia wamehakikisha Afrika ya Mashariki inatambulika na kusikika kote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…