bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,141
- 1,294
Asante simplemind hiyo ndio spirit ya kweli ya Afrika Mashariki, tujivunie hawa mashujaa wetu wa ukanda huu wa EAC.Nimefurahi sana kuona Wakenya na Waethiopia wamehakikisha Afrika ya Mashariki inatambulika na kusikika kote.
Kenya’s athletics exports ready to seek glory in RioGranted, the emergence of latter day doping cheats can’t be wished away, but, by and large, Kenya has proved to the world untold times that it’s a country that has an endless production of world champions.
And at the Rio Olympics, such production will be evident with no less than 20 Kenya-born track stars expected to feature for their adopted nations at the three-week sporting showcase.
From USA to Bahrain, Bosnia-Herzegovina to Azerbaijan, Kenya’s track exports will be out to seek glory under their new flags, singing unfamiliar national anthems.
Kuna mkenya mdada kashinda km arobaini na mbili jioni hii ya gold medali hongera kwakeKama kawaida yenu manyang'au, mmepeleka tabia zenu za hovyo huko Rio, but this time wamewastukia, aibu tupu..
Nyang'au will always be nyang'au, hata akizeeka kichwani busara na hekima ni sifuri (Big zero)
Hizo tabia huku huwa wanafanya watoto wa std 4, nashangaa Kenya wazee wanafanya..
You guys is a joke.
[emoji85] [emoji85] [emoji125]Tanzania:
Gold-2
Silver-0
Bronze-0
[emoji1]
DuTanzania:
Gold-2
Silver-0
Bronze-0
[emoji1]
Ndo mnavyofundishwa hivyo kwenye shule zenu kuna Ethiopia nayo ni east Africa ndio maana Olduvai gorge mnasema ipo Kenya kama hujui nchi zinazotengeneza afrika mashariki na umri wako huo [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Them Arabs are stealing Our Athletes..UHURU should do something about itKenya’s athletics exports ready to seek glory in Rio
I never realized there are so many Kenyan imports, at this rate we risk Kenyans running against themselves in the middle and long distances
by the fisrt 27km mark group ya mbele ilikua iko na wakenya watatu, wa ethiopia watatu, wa bahrain watatu (ambae mmoja wao ni mkenya) na wamarekani wawili.....
alafu yule mkenya favourite akaanza kuwachwa nyuma, ikabaki wakenya wawili.....baada ya mda kidogo muithopia akaumiza mguu nae akajitoa, tukifika kama 30km, mkenya mwengine akaachwa nyuma, ilawa imebaki wa ethiopia wawili,muamerika na mbahrain, nikawa najua kwisha, hapa kenya haina chance, alafu mara yule mkenya akaongeza kasi, muithopia mmoja akashindwa kumfwata akkanza kuwachwa nyuma ikawa imebaki mkenya,muithopia na mbahrain, lakini mbahrain ndo alikua ywaongoza na imebaki km tano,... tumbo joto nakwambia, mpaka naachilia hewa kidigo (haha) tukibaki kilometer mbili mkenya akaanza kuchomoka, alafu mara mbahrain akamfwata kidogo mkenya akaendeleza kasi ndo akaanza kuwaacha nyuma, hapo ndo niko fweeeu, i can now breath! ohhh it was wonderfull
Bendera imeanza kupepea, twende kazi sasa hadi kieleweke.
Them Arabs are stealing Our Athletes..UHURU should do something about it
Hongereni Majirani, mie ni Mtanzania ambaye sina chuki na Majirani zetu, lakini mkikosea nitawaambia, mkiwa na msiba wa Kitaifa nitawapa pole na mkifanya vizuri popote pale na kwenye fani yoyote ile ndani ya nchi yenu au nje ya nchi yenu nitawapongeza. Huo ndiyo ujirani mwema.