Rio Paul Afanya maajabu UN

Rio Paul Afanya maajabu UN

Kama bwabwa aende zake uko.atutishi ata aende mbinguni..abitha lahmal duniiyaa
 
Mayoo...huyu si ndiyo vijana wa Kitanzania kupitia UVCCM walienda kumpambania huko kwenye Bunge la Vijana afrika Mashariki na kufanikiwa na hatimaye akawa Spika wa Bunge la vijana wa Afrika ya Mashariki?

Wengi wanapuga tu kelele ila deep down vijana wa kitanzania majority wapo tayari kwa ushoga au hawaoni shida yake.
Mshana Jr Mamndenyi Extrovert The Icebreaker Mokaze
 

Attachments

  • 5273077-6e239d5f44df3d8f2bb36179c319ea66.mp4
    2.7 MB
  • 5273076-6f6703d140899c859e559832e9e987d8.mp4
    3.1 MB
Kila nikionaha pcha za uyu kaka uwa naombea acwe shoga... I real like him anajitahd saana jaman Plz ucwe bwabwa!
Umechelewaaaaa, ameshakua sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Paul peter siniga,maarufu kama Rio paul, ni kijana wa kipekee kutoka Tanzania, anayewakilisha Vijana kwenye mkutano wa Umoja wa mataifa (UN) unaofanyika marekani,Newyork. Kijana huyo pia ambaye ni mwanamitindo yupo nchini marekani akihudhuria show kubwa ambapo waliudhuria mastaa mbali mbali wa nchini humo, rio pia ni balozi wa makampuni mbali mbali nchini ikiwemo Tanzanite,balozi wa amani akitetea haki juu ya matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii na mambo ya maendeleo.

Rio ni kijana ambaye anahusishwa pia kwenye scandal ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ,swali ni je? kutokana na operation ya bwana hamis na paul makonda ya kutokomeza ushoga nchini, hyu kijana atasalimika?, rio amekua akiwakilisha Tanzania kwenye nchi mbali mbali duniani ,nakumbuka hata mwaka jana au juzi alialikwa pia bungeni.
da782dcbdf141fa7746047297595ac77.jpg
Ooh
 
Back
Top Bottom