RIP Dr. Masau

RIP Dr. Masau

royna

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
479
Reaction score
335
Biblia inatufundisha kuwa 'Tusichoke kutenda mema maana tutavuna kwa wakati wake tusipozimia mioyo'. Ninaamini usipolipwa wema wako hapa duniani, utalipwa Mbinguni. Kuishi kwa Dr Masau na jitihada zake za kutamani kusaidia watu, nimejifunza mambo mengi. Waweza andika kitabu!
 
A humble and dedicated Dr. at heart landed in malicious souls in his own land. God forbid someone will pay.
 
Nimekuwa nikifuatilia taratibu za msiba huu kwa maana ya kujua atazikwa/amezikwa lini na wapi? Naomba kufahamishwa kwa aliyekaribu na msiba huu.
 
Naomba kwa yeyote mwenye taarifa anifahamishe juu ya taratibu za msiba huu kwa maana ya mazishi yali/yame/yatafanyika lini na wapi
 
Mimi na neno Uzalendo sasa basi. Kilicho mpata huyu colleague.....inatosha kutupa somo kwa sisi wengine tuliobaki.
 
Naomba kwa yeyote mwenye taarifa anifahamishe juu ya taratibu za msiba huu kwa maana ya mazishi yali/yame/yatafanyika lini na wapi

Uliwekewa taarifa ya last respects toka juzi hukusoma?

Anyway, amesafirishwa leo kupelekwa kwao Ukerewe kwa maziko. Apumzike kwa Amani, Amina.
 
RIP Doctor. Sijaona hii habari ya kufa na kuzikwa kwake kwenye vyombo vya habari kama alivyokufa Bi Kidude. Habari za huyu Dr Mzalendo Mtanzania nimezipata huku tu JF.
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Dr.Ferdinand Masau mahali pema peponi.
 
Back
Top Bottom