RIP English...Tanzanians please use Swahili


Mtoto wako atakuwa sifuri kama wewe.

yani kupachika mche ardhini ni climbing????

Kaa mbali na watoto wako usijekuwaambukiza zero brain yako.
 
Mtoto wako atakuwa sifuri kama wewe.

yani kupachika mche ardhini ni climbing????

Kaa mbali na watoto wako usijekuwaambukiza zero brain yako.


Huna akili wewe "Mchambuzi" maandazi!

Nimekwambia application ya hiyo sentensi kwenye tukio hilo ndio imekosewa!

Ila sentensi kama sentensi grammatically ni correct 100%,context tu ndio imekosewa!

Huyu mtu anajua kiingereza,context ya application yake ndio kakosea.

Halafu uwe unajua kubishana na mtu..ni vituko mtu keshatoa jawabu ya kitu hicho hicho mahususi ila bado unang'ang'ania kitu hicho hicho mahususi wakati hoja ishajibiwa...Huu ni ukichaa,kubisha kitu kile kile kilichokwishajibiwa ukitegemea majibu tofauti,hii ni lunacy!
 

Narudia tena, kaa mbali na watoto wako usiwambuzi zero brain.

Maelezo yana mahusinao na hiyo picha, muandishi kaandika hapo akimaanisha hilo ndiyo tendo linalofanyika hapo kwenye picha.

Sasa jiulize, Je mtu huyo kwenye picha anakwea mti??
Jibu ni hapana.

Kaa mbali hata na watoto wa majirani usijekuwaambukiza zero brain uliyonayo.
 

Unarudia yale yale as if nimebisha.....alichokosea ndio hicho unachosema,na nimekikubali..yaani ka-apply kwenye context isiyo sahihi..

Ila english ya sentensi kama sentensi ya kiingereza kisarufi ipo sawa,hajakosea.....

Kusema hajui kingereza kabisa ni kua nyie ni misinformed bunch!
 
Kenyans wapo kwenye Utumwa mkubwa wa kifikira
 
Kwani mtoa post,hapo post ya maneno na picha vina mahusiano gani ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila haya mambo we acha tu
 
Juzi kati nimebahatika kusoma 'Kabrasha la maelezo' namna ya kutumia printer ya Epson ambayo amenunua jamaa yangu. Imetafsiriwa kwa kiswahili. Yaani tafsiri ile, huwezi kutamani kiswahili...ilifikia kipindi ni kahisi hawa watafsiri wana ajenda ya siri kufanya watu wachukie kiswahili ama nini!? Maana si kiswahili kile....yaani maneno mengine ilibidi niwe na rejea kwenye maelezo ya kiingereza. Kwa kweli hii haikubaliki enyi watafsiri...toka lini lugha yetu ikawa ngumu hivi kueleweka? mnakusudia nini hasa.
===
kwenye mada: Lazima tupambane kujua lugha zote zinazotumika ulimwenguni maana tunahitaji kuwasiliana. Hata huyo aliyekosea hapo ni katika kujifunza na kiu ya kuwahabarisha walimwengu juu ya kinachoendelea nchi. Njia nzuri, haikuwa kumkatisha tamaa bali kumsaidia aijue vizuri lugha hiyo ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa sahihi bila kupotoshwa maana halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…