FR Beda Pavel alizaliwa mjini Humberg ujerumani, alipadrishwa mwaka 1953 na kutumwa Tanganyika mwaka huohuo. Amewahi kufundisha Biology katika seminary kadhaa nchini, amehudumu parokia mbalimbali, mara ya mwisho alihudumu kama paroko wa parokia ya kilimahewa jimbo kuu la Dar es salaam. Fr Beda atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyofanya kwenye sekta za elimu na afya. Tarehe 15/05/2025 ameaga dunia huko Ndanda mission na atazikwa jumanne 20/05/2025 huko Ndanda mission, AMEN!