RIP GOLDIE.....Naija singer is no more

RIP GOLDIE.....Naija singer is no more

jamaniii R.I.P GOLDIE. jamani hali ya prezoo ni gani coz walikuwa na mipango mizuri sana ya maisha:A S-confused1::A S-confused1:
 
JK achelewi kufunga safari kwenda msibani...
 
RIP Goldie..although ulipokua BBA ulikua unanibore pengine kuliko mshiriki yeyote but am shocked kwakweli..gone too soon dear
 
Ndio leo namsikia Mwenyezi Mnungu ailaze roho yake pahali panapomstahili
 
Hizi blog ni za kwenda naso polepole.........kuna wakati walisema Tyson kabadili jinsia............
 
Back
Top Bottom