RIP John Ngahyoma

RIP John Ngahyoma

rip j nganhyoma.

Mwaka 2011 utakumbukwa kwa kuondokewa na nguli wa tasnia ya habari. Watu watu ambao watakumbukwa katika habari tanzania ni
  1. adam lusekelo
  2. halima mchuka
  3. john ngahyoma

bila kumsahau uncle dan mwakiteleko
 
Update.
Tulimsindikiza John katika safari yake ya mwisho hapo jana ambapo sasa yuko kwenye pumziko la milele pale makaburi ya Kinondoni.

Umati mkubwa wa watu ulihudhuria ukiobgozwa na mawaziri Nchimbi na Wasira pamoja na kundi kubwa kabisa kabisa la wanahabari wakongwe na wa sasa.

John alikuwa ndie MC wangu wakati nao na alifanya kazi hiyo kwa kujitolea!.

RIP My MC, My Friend, My Colague, My Brother John Ngahyoma. Nakutakia pumziko jema la Milele.

Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, Na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, ...Amen!.
 
dah pole sana pascal hii ndo dunia tupo safarini na kwenye hii safari tunawapoteza wapendwa wetu kweli ni huzuni ila kazi ya mola haina makosa kaka
pole sana
 
Back
Top Bottom