Update.
Tulimsindikiza John katika safari yake ya mwisho hapo jana ambapo sasa yuko kwenye pumziko la milele pale makaburi ya Kinondoni.
Umati mkubwa wa watu ulihudhuria ukiobgozwa na mawaziri Nchimbi na Wasira pamoja na kundi kubwa kabisa kabisa la wanahabari wakongwe na wa sasa.
John alikuwa ndie MC wangu wakati nao na alifanya kazi hiyo kwa kujitolea!.
RIP My MC, My Friend, My Colague, My Brother John Ngahyoma. Nakutakia pumziko jema la Milele.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, Na Mwanga wa Milele Umuangazie, Apumzike kwa Amani, ...Amen!.