secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Ati wanaume wako wengi.....Wanaume walivyo wengi hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati wanaume wako wengi.....Wanaume walivyo wengi hivi
Duh ni hatari.
Kwa hiyo niachane na kazi yangu ya Kenya?
Lakini visu 27 ilikuwaje ase, mwamba alikuwa akifanya nini…
So sad.Labda alimpa kitu akanywa/akala akalewa vikafuatia visu
Mapenzi sikuzote huishia kuwa uadui...Mapenzi yakibadilika mtu uliyempenda zaidi ndie mtu utakaekuwa unamchukia na kumsema vibaya zaidi
Inachanganya sana
Nini huwa kinatokea!?Mapenzi sikuzote huishia kuwa uadui...
Labda mpretend
Sijui kwanini,nahisi tuliumbiwa kutokutengana....Nini huwa kinatokea!?
You just let it go!Mapenzi yakibadilika mtu uliyempenda zaidi ndie mtu utakaekuwa unamchukia na kumsema vibaya zaidi
Inachanganya sana
Hii let it go imekuwa mtihani kwa wengineYou just let it go!
Familia moja katika eneo la Saika, Nairobi, iko katika majonzi kufuatia mauaji ya kikatili ya mtoto wao, Conrad Nyabuto, mikononi mwa mpenzi wake aliyeachana naye mwezi uliopita.
Zaidi ya maumivu haya, familia inakutana na ucheleweshaji katika utoaji wa haki licha ya kuwepo na ushahidi wa kutosha unaoonyesha kuwa mauaji ya mtoto wao yalifanywa na mpenzi wake.
View: https://www.facebook.com/CitizenTVKe/videos/967800905284992/?app=fbl
Nyabuto alikufa kwa kupoteza damu baada ya kupigwa kisu mara 27 alipoenda kumtembelea mpenzi wake huko Kamakis usiku wa tarehe 17 Desemba ili kujadili uhusiano wao uliokuwa unayeyuka.
“Vidonda 27 vya kisu si kujitetea. Hiyo ni kama unapomuua mnyama mwituni hatari sana, hivyo tumekuwa tukijaribu kustahimili, lakini si rahisi,” alisema baba wa majonzi.
“Kuna habari za kuaminika kwamba watu wakubwa serikalini walikuwa wakijaribu kuingilia uchunguzi. Tunachokiomba ni kwamba mtoto wetu atapata haki kwa kile kilichotokea.
Hatashuka tena, lakini angalau nduguze, hasa, wataweza kupumua kidogo haki itakapotolewa.”
Haki ya kujitetea inahusu kitendo cha kujilinda kutokana na madhara ya kimwili na mara nyingi si kali kama vile mauaji ya Nyabuto, jambo linalofanya familia kutilia shaka kwamba huenda kulikuwa na hila zaidi.
Aidha, iliripotiwa kwamba mpenzi alikataa kufungua mlango kwa polisi waliokuwepo kwenye eneo la tukio muda mfupi baada ya tukio. Inaripotiwa kuwa polisi walitumia masaa mawili kuvunja mlango wa nyumba hiyo.
View attachment 3203810

Katest mitambo mingi kakutana na size yake, sasa ataiachaje kirahisi?Wanaume walivyo wengi hivi