Akili za Lucy Anthony hiziUpinzani Tanzania ulale pema peponi.
Hakuna tena matumaini ya kufufuka. Alisikika kiongozi wao akiomba jumuia za Kimataifa kuongoza nchi kwa serikali mseto ila CCM wasiwepo kwenye huo mseto.
Kauli ile ndio ilikuwa karata yao ya mwisho kabla kupigwa Three people let us count our cards.
Bahati mbaya wananchi wakaipuuza ile kauli na kuona sura halisi ya upinzani.
RiP upinzani. Sasa hivi kitu ambacho watakifanya ni kudandia kila jambo linalotokea mpaka 2030.
Exactly ndio maana hata ukifungia upinzani ama ukafuta vyama vyote vya upinzani ambao kwa hapa kwetu culinzani ni hii Chadema ya LISU pekee..hata ukiifungia ama uki ifuta kabisa..bado upinzani HAUTAISHA/HAUTAKUFA mana mwazo/imani/mitazamo/ watu bado wanaishi.Hapa Tanzagiza mbona upinzani ulishaamia kwa wanainchi siku nyingi sana.
Sasa hivi mpinzani mkuu wa serikali ya ccm ni wanainchi na sio CHADEMA tena.
Nyie endeleeni kuboresha maslahi ya mapolisi huku mkiomba waendelee kuwa wajinga, maana ndio wanaofanya mkalie hizo ofisi mpaka muda huu.
Na chama kilichoshinda kwa 98% kinaogopa upinzani mpka samuya anajificha vichochoroni.Yaani pale ndipo nilimuona heche kuwa ni mbuzi
"YAANI WAZUNGU WAJE KUONGOZA SERIKALI YA MSETO TANZANIA?"
huyu aliona wapi haya?
kama haya ndo mawazo ya upinzani, basi ni takataka